Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku huyuhuyu! Huyu Berbatov ndio maana na yeye alishindwa Ku meet expectations za babu Ferg
 
Nimemwelewa sana berbatov kwa hili
 
Kwani ED Woodward washawahi mtolea hayo mabango? Hapa baadhi ya wachezaji wana shida na kocha ni shida pia. Arsenal nadhani wametupita pointi 8,Liverpool sijui ngapi huko je hizo timu mbili ni nzuri sana na zina world class players zaidi ya Man U!?

To put records clear, Liverpool kakupita 16 points.
 
*Ili* *Manchester* *united* *aingie* *TOP* *FOUR* *Inahitaji* *Kila* *Siku* *acheze* *na* *Fulham* *mpaka* *msimu* *huu* *wa* *2018/2019* *Unaisha*
 
"He is good on the ball" what about his first touches? Berbatov atakuwa alikuwa anajiongelea tu ili na yeye asikike akiongelea timu. Kwanza Lukaku Mara nyingi anajificha sana kwa mabeki kuliko utoro kwa mabeki. Hata kuna siku hazard alimchana uwanjani wakabwatukiana kidogo. Mpira ulipoisha hazard alipoulizwa kwa nini walikuwa na rabsha kidogo na lukaku jamaa akasema hatukuwa na rabsha Bali nilimwambia asiwe anafichama zaidi kwa maadui kwa sababu inakuwa ni vigumu kumpasia. Halafu pia lukaku hayuko accurate sana anapoliface goli. Pia ni mzito kidogo kimwili na ktk maamuzi
 
He has a point...
 
Only positive thing from Liverpool vs Napoli game was availability of Kalidou Koulibally after Napoli UCL involvement ended.

Will United push on the attempt to sign him? Only time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…