Na hata chelsea aliyoacha mourinho conte mwenyewe aliichezea msimu wa kwanza alibeba ndoo haikuwa timu mbovu unauza costa unanunua morata ilikuwa imetimia kila idara na usajili wake unafahamika akitaka mtu tekeleza sio huku wanavutana hadi ed woordward apime kama jina la huyo mchezaji linauza jeziJamaa unafanya argument vizuri sana players wengi Man United wana masiara
Cha msingi ni kutia hela sio fukuza fukuza haitosaidia kama hautoi hela mfano mdogo angalia Chelsea wakifukuza kocha ajae anapewa hela
Na ndio maana niliwahi kuchangia huko nyuma Man u isipoangalia itamridhi Arsenal ya Arsene Wenga ya kubana mfuko hadi mnaambulia Europa kila mwakaNa hata chelsea aliyoacha mourinho conte mwenyewe aliichezea msimu wa kwanza alibeba ndoo haikuwa timu mbovu unauza costa unanunua morata ilikuwa imetimia kila idara na usajili wake unafahamika akitaka mtu tekeleza sio huku wanavutana hadi ed woordward apime kama jina la huyo mchezaji linauza jezi
Na ndio maana niliwahi kuchangia huko nyuma Man u isipoangalia itamridhi Arsenal ya Arsene Wenga ya kubana mfuko hadi mnaambulia Europa kila mwaka
Wachambuzi wanakuambia msimu huu matic kadrop. Halafu jamaa ni mzito.Matic namkubali Sana yeye anatekeleza majukumu yake
Ni kweli Mkuu ila nae hana uwezo wowote.....yan hata kuifunga Derby county anataka usajili wa maana hahahaha goli lenyewe la kusawazisha tulipata kwa krosi na yeye akashangilia hahahahahahahNilichogundua makocha waliopita waliofukuzwa walilalamika sana kuhusu usajili sasa mreno kabla ya ligi kuanza aliongea ktk media ed kashindwa kutekeleza matakwa alimuwahi tofaut na hao walikaa kimya hapa kamshika pabaya ed ndo mana anakibur ana cha kujibu.
wachambuzi gani hao? Matic alifanyiwa surgery after world cupWachambuzi wanakuambia msimu huu matic kadrop. Halafu jamaa ni mzito.
Ni kweli Mkuu ila nae hana uwezo wowote.....yan hata kuifunga Derby county anataka usajili wa maana hahahaha goli lenyewe la kusawazisha tulipata kwa krosi na yeye akashangilia hahahahahahah
hii kauli angetoa Mou ingekuwa ni headlineHaya mambo ndo anayoambiwaga martial na mourinho lakin anaaambiwa kocha wa hovyo kwa kiwango cha sane lakin bado pep kamkalia kooni vipi sisi martial?
"I want all my players to be focused and when they do that there is no problem at all, when they don't do that they know what happens..."View attachment 883442
Mkuu angekuwa yeye ni kocha mzuri angefanyia kazi issue ulizotoa ila anaendelea waweka hao wachezaj alafu tactics mbovuPogba anakula madongo ya kutosha.
Muda mwingine Mou yupo sawa,hakuna timu kubwa EPL yenye wachezaji mabishoo kama MUFC,matozi hawachezi mbali na mitandao na camera.
Kinachonisikitisha ni kwamba hamtumii Herrera mchezaji asiye na mbwembwe yeye ni kazi tu.
Amtoe lukaku pale mbele apumzike aanze Sanchez. Ni ujinga wake mwenyewe kupenda michezaji mizito yenye miili mikubwa.
Nimemuona Pogba na Martial kwa mbaliJose Mourinho: "I don't like the current situation, it is bad, very bad but i am trying. Sack? No way. I Will say no way. I am the right man for the job. I won three trophies in first season. Tell me who has done that after Ferguson" #MUFC
Jose Mourinho: "Some players i brought in disappointed me. They like outside life more than football life. They like their pets more than football, they like their new born babies too but they forget football gives them money" #MUFC
Jose Mourinho: "Manchester United is not the only club to have such difficulties, it happens to every big club. Liverpool has experienced it before, but now they are coming good, so it is just a matter of time" #MUFC
Jose Mourinho: "They(Liverpool ) have experienced it over a decade?. But over here it hasn't been long. May be it could be shorter" #MUFC
Jose Mourinho: "I'm not leaving this team today. Not tomorrow. Some players Will leave this club but i Will still be here. Some(players) think they are bigger than this club but i Will say no. They act like Hip hop or rap stars" #MUFC
Hahaha hatar sana mkuu mi ndo mana nasema tatizo la hii timu sio kocha ni mfumo mzima wa club ila watu tunaangalia hapa karibu tu david Gill alikuwa vizur sanahii kauli angetoa Mou ingekuwa ni headline
Wasusie kwenda uwanjani game 2 kusiwe na shabiki[emoji28] [emoji28] [emoji28] hip hop star Mou kiboko asee tumuachie timu yake, mgomo wa wachezaji ukishindikana tuanzishe mgomo wa mashabiki sasa.
akisema Mourinho anaonekana mbaya lakini discipline ni muhimu kwa wachezaji hao kina Pogba waache waende Barcelona tuone kama wataendelea na ujinga wao! Juventus tu penyewe labda Dybala ndio mtoto mpendwa wa Allegri ila wengine ni discipline mwanzo mwisho! hakuna kutumia simu wakati wa mazoezi nk!Haya mambo ndo anayoambiwaga martial na mourinho lakin anaaambiwa kocha wa hovyo kwa kiwango cha sane lakin bado pep kamkalia kooni vipi sisi martial?
"I want all my players to be focused and when they do that there is no problem at all, when they don't do that they know what happens..."View attachment 883442
Jamaa unafanya argument vizuri sana players wengi Man United wana masiara
Cha msingi ni kutia hela sio fukuza fukuza haitosaidia kama hautoi hela mfano mdogo angalia Chelsea wakifukuza kocha ajae anapewa hela
Mechi ya west ham nilishangaa sana pogba kumchezesha alitakiwa kukaa bench hilo nasema ukweli kabisaMkuu angekuwa yeye ni kocha mzuri angefanyia kazi issue ulizotoa ila anaendelea waweka hao wachezaj alafu tactics mbovu
Anatudanganya hapa ili tutulie mpaka msimu ujao atuletee bwabwa jingineJose Mourinho: "Another striker? Yes Yes we need a striker because Lukaku sometimes sweats too much, it covers his eyes and misses some chances(Laughs). We are looking at another big striker as an option."
Kipigo cha city toka kwa wigani sio sawa na cha kwetu Mkuu kweli tunashindwa wafunga derby mwenye kikosi cha paun mil 45 kweli mkuuMkuu hilo kombe mwanzo kabla hata ya ujio wa hawa makocha timu ndogo zilikuwa zinatamba sana wigan mwenyewe kamfumua city mwaka jana arsenal alikula chuma 4 na nottingham forest