Yule refa wenu Dowd aliyewanyima Arsenal penalty (kule kwa Mancs) leo alikuwa anatoa kadi na penalty kama njugu .... subirini mwaka mpya muingie kwenye CL kwa kubebwa tena. Phew! what a shame .... .... ..
BTW you're a big team kwa kubebwa na mbeleko.
Its really amusing seeing some Arsenal fans talking trash about United..... of all the other rival teams, I understand their trauma of having won nothing for a long long time makes them spew hatred towards United, but seriously why even bother when you know your team's highest ambition year after year is to be just in the top 4 or above spurs. All the bitters only make United stronger and the fans cant be any more proud of our team that never gives up..... seriously bitter arsenal fans should stop commenting trash, its pathetic.
Mda wetu ndo huu ushafika.
congs kwa wanaz wenzangu.
Ni vema mjipongeze man.... Ila ile RED unaizungumziaje.... jibu Kisport....
Kila timu inabebwa ,tofauti ni jinsi ya kuitumia hiyo nafasi.Unakumbuka penati waliyopewa Newcastle dhidi yetu au David Luiz alitakiwa kupewa red card refa akapeta.Ni vema mjipongeze man.... Ila ile RED unaizungumziaje.... jibu Kisport....
Hata kama haikuwa halali bado Wigan ni wachovu tu kwa Man Utd miaka yote huwa wapo 11 na wanafungwa magoli mengi tu. tumeshakutana mara 13 na zote tumeshinda
Kila timu inabebwa ,tofauti ni jinsi ya kuitumia hiyo nafasi.Unakumbuka penati waliyopewa Newcastle dhidi yetu au David Luiz alitakiwa kupewa red card refa akapeta.
Sisi tunasonga na timu yetu,kikosi cha jana kilikuwa kinatia wasiwasi
Ni vema mjipongeze man.... Ila ile RED unaizungumziaje.... jibu Kisport....
Red was not fair kwa kweli...naona refa alikurupuka pale.
Swali jingine?
BTW it always getting controversial when the decision turns in favor of Manure and nt otherwise, ukitaka kuamin hilo go out and dig uone matukio mangap refs wametunyonga vis a vis mangap tumepeta, nonetheless matukio ya tam zingine, manake isije ikawa n sie tu ndo twaangaliwa.
Angalia mafarisayo yasikusikie yatakupiga mawe
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Football isn't history, wacha udaku.
Nyie mnabebwa zaidi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha angalia Channel 5