Ni takwimu za epl sio sisi idadi ya mechi na magoli waliyofunga yani muda uliotumika kuifikia rekod ya drogba naona wengi wanakurupuka huu mjadala hawalinganishi uwezo ni kama vile salah alivyovunja rekod ya ronaldo ya magoli mengi epl ktk msimu mmoja