Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Toka 2G mpaka sasa dunia inaongelea 5G kuna lot of changes the same to football mpira umebadilika sana siku hiz usipokuwa na comptative player utasubiri sana...Nick butt na paul scholes walitokea wapi?
Inshallah Mungu atajaliacryStal palace anakufa 3, 1
Ndio upojebaada ya manchester united na barcelona leo natangaza rasmi pia kuishabikia fiorentina fc baada ya kutuonyesha maana halisi ya michezo.
marehemu davide astori amepewa mkataba wa maisha wa kuitumikia klabu ya fiorentina.
Nimefurahi leo tena tunashinda kwa raha zote. Kale kajamaa naona hata sub hakapo. Hongera Mou kwa kuweza kugundua ubovu wa mchezaji huyo mapema. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]United XI vs Palace: De Gea, Valencia, Smalling, Lindelof, Young, McTominay, Matic, Pogba, Lingard, Lukaku, Alexis.
Subs: J.Pereira, Bailly, Darmian, Shaw, Carrick, Mata, Rashford.
Usiyempenda hajasafiri na timu. Pamoja na mapungufu yake lakini ana mchango mkubwa pia.Nimefurahi leo tena tunashinda kwa raha zote. Kale kajamaa naona hata sub hakapo. Hongera Mou kwa kuweza kugundua ubovu wa mchezaji huyo mapema. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]
Utaona leo timu itakavyofunguka.Usiyempenda hajasafiri na timu. Pamoja na mapungufu yake lakini ana mchango mkubwa pia.
Nimefurahi leo tena tunashinda kwa raha zote. Kale kajamaa naona hata sub hakapo. Hongera Mou kwa kuweza kugundua ubovu wa mchezaji huyo mapema. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]