The potters huwa miongoni mwa timu za hovyo sana kukutana nazo nakumbuka msimu ulopita tulikwenda nao sare game zote. Ila mpaka muda huu tupo uzuri na tunaweza kutengeneza nafasi nyingine nyingi za magoli.
Yani ukimwangalia pogba hata kama una njaa unajikuta umeshiba. Hata kama una madeni unajikuta umeshayalipa. This man is phenomenal. Jamani huyu jamaa sio wa 89. Tumewadhulumu Juventus. Huyu jamaa ni wa 189....