Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tetesi

Winga wa Brazil Lucas Moura, 25, amekubali kujiunga na Manchester United kutoka Paris St-Germain, ijapakuwa kitita cha uhamisho huo hakijakubalika kati ya vilabu hivyo viwili. (Gazetta dello Sport - in Italian)
Huyu alikuwa mzuri wakat anatoka brazili kuja ulaya ....ilibdi aje man u kitambo sana
 
Bado kunatetesi za hali ya juu pia kuhusu Paulo Dyabala... tuendelee kusubiri
 
Both Man United and Man City have made a bid to have Alexis Sanchez now; or a contract bid to sign him as a free transfer in June.

Arsenal will give the answer soon to the offers; if will not accept, Arsenal will lose Sanchez on next summer. Let’s see if for Man Utd or City!
 
Tetesi

Man United yamtengea dau nono Asensio

Manchester United yamtamanisha dau nono Marco Asensio wakitaka kumtoa Real Madrid kutua Old Trafford, kwa mujibu wa Don Balon.
Asinsio ni miongoni mwa vipaji vinavyokua kwa kasi Bernabeu, na uwezo wake umeyanasa macho ya Jose Mourinho.
Mourinho anayeripotiwa kuwa shabiki wake mkubwa, anaamini Asensio ataiimarisha United kupata bahati ya kuziba pengo dhidi ya Manchester City - ingawa Madrid wanasita kumuuza.
 
Mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku anazungumza na mawakili wake kuhusu madai yaliotolewa na mmiliki wa Everton Farhad Moshiri kwamba aliamua kuondoka katika klabu hiyo baada ya kupata ''ujumbe wa uchawi''.
Moshiri aliuambia mkutano wa wamiliki wa hisa katika klabu hiyo kwamba Lukaku mwenye umri wa miaka 24 alipokea ujumbe huo baada ya kuzuru Afrika.
Lukaku alijiunga na United kwa pauni milioni 75 mwezi Julai baada ya kukataa kandarasi mpya Everton.
Mwakilishi wa mchezaji huyo aiambia BBC michezo kwamba uamuzi wa Lukaku haukushinikizwa na uchawi.

Msemaji huyo aliongezea: Hapendi kufuata imani kama hizo na sasa anatathmini hatua za kisheria anazoweza kuchukua.
BBC michezo inaelewa kwamba raia huyo wa Ubelgiji amekasirishwa na madai hayo.
Wawakilishi wake wanasema kuwa Lukaku alikataa kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi katika historia ya klabu ya Everton ili kuweza kucheza katika klabu kubwa duniani.
Wawakilishi wake waliongezea: Romelu ni mfuasi wa kanisa katoliki na kwamba haamini uchawi. Hakuwa na imani na Everton mbali na mradi wa bwana Moshiri.
Hiyo ndio sababu hakutaka kutia kandarasi nyengine.
 
Tetesi

Manchester United itashindana na Liverpool katika kumwania mchezaji wa Borussia Dortmund na Marekani Christian Pulisic iwapo wapinzani wao watawasilisha ombi la kutaka kumsajili mchezaji huyo ,19, (Independent)
 
Tetesi

Manchester United inajiandaa kumsajili kiungo wa kati wa Shakhtar Donetsk's na Brazil Fred, 24, ambaye pia anasakwa na Manchester City(Record).
 
Tetesi

Manchester United imewasilisha ombi la dau la £25m kumsajili mshambuliaji wa Arsenal na raia wa Chile Alexis Sanchez. (Guardian)
Sanchez angependelea kujiunga na Manchester City, lakini kikosi cha Pep Guardiola kinataka kumsajili mchezaji huyo kwa £20m pekee. (Independent)
 
Tetesi

Manchester United pia wanawataka washambuliji wawili akiwemo mshambuiaji wa Leicester na Uingereza ,30, Jamie Vardy na mwenzake wa West Ham, 29, Javier Hernandez, ambaye alikuwa katika uwanja wa Old Trafford kutoka 2010-2015. (Telegraph)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…