Sikiliza ndugu yangu, tukiacha ushabiki na kuwa realistic, hakuna 5 five star players kwenye ligi ya England. Walikuwepo zamani, na wote walikuwa mabeki. Hii ligi ni nzuri kwa ushindani lakini sio skills, tulionao ni wengi wao ni potential 5 stars na sio established 5 stars. Kama utamwita Nani 5 stars, then hii ligi itakuwa nao at least 30 5 star players, wakati ki-ukweli duniani kwa sasa hivi wako kama 10 tu (naongelea active players)!