Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Mpaka hapo umeshamaliza kila kitu.bila ya shaka umeanza kuangalia EPL msimu ama la unataka kuhamisha mada ya kufungwa na mbinu mbovu za Mourinho kupeleka kwenye comparison za wachezaji.
Eden Hazard ameisaidia Chelsea kuchukuwa EPL mara mbili,Europa League moja na Capital one Cup moja katika misimu mitano aliyokaa Chelsea so far.
Pia amechukuwa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa EPL mara moja na amechukuwa tuzo ya mchezaji bora wa EPL mara moja.
Naomba unambie kuhusu hao watu wako unaosema wanamzidi uwezo kabla sijaenda kwenye magoli,assits,take ons,dribbles,chances created na sector zengine.
Neymar yupo EPL?unavutia bangi chooni au?tuanze na neymar au
Neymar yupo EPL?unavutia bangi chooni au?
Mkuu upo?
Nipo mkuuMkuu upo?
Waache chura wapige kelele lkn tembo Hazard atakunywa tu maji.Mashabiki wengi wa hii team ni vilaza huwezi linganisha hazard na martial+rashford +Lingard+lukaku huo ni ujinga
Jamaa unyumbulifu hawezi kabisa. Kugeuka labda awe mwenyewe uwanjaniAna rukaruka tuu
Ukifuatilia vizur wengi wana mtindio wa Ubongo.... yaani wenzio wanafanya sub anaingia Willian eti wew unaingiza kitoto ki Lingard.....Mashabiki wengi wa hii team ni vilaza huwezi linganisha hazard na martial+rashford +Lingard+lukaku huo ni ujinga
Ni majinga sana mkuu hayo majituUkifuatilia vizur wengu wana mtindio wa Ubongo.... yaani wenzio wanafanya sub anaingia Willian eti wew unaingiza kitoto ki Lingard.....
Sasa eti mtu analinganisha Lingard na Hazard alaf useme ana akili timamu...
Yani leo uwaweke sokoni sokoni rashfod na Hazard wanunuliwe bei sawa
sio utindio wa ubongo tu mkuu na bangi za kuvuta chooni huwa zinasababisha mtu aongee ujinga wa level za PhD kama alizoongea huyo anaemfananisha Hazard na hao kima wake.Ukifuatilia vizur wengi wana mtindio wa Ubongo.... yaani wenzio wanafanya sub anaingia Willian eti wew unaingiza kitoto ki Lingard.....
Sasa eti mtu analinganisha Lingard na Hazard alaf useme ana akili timamu...
Yani leo uwaweke sokoni sokoni rashfod na Hazard wanunuliwe bei sawa
Tatizo lako unajikanyaga kanyaga tu naona sasa umeenda kwa akina Messi na Ronaldo kwani nani alisema Hazard yupo level hizo?neymar hayupo epl tatizo la kudandia topic unavamia vamia hujui hata mjadala ulikuwaje.
kwani we unavutia wapi vichakani? sijiu kaisadia kuchukua epl sijui europa hayo ya nini na wewe unajiita unaujua mpira ndo takwimu hizo thomas vamarlen aliuzwa na arsenal kwenda baca kachukua kila kitu na barcelona lakin muda mwingi yupo benchini kwa hiyo nae ktk mabek bora wa 5 duniani yupo kwa kuwa kabeba makombe? mara sijui umeanza kuangalia epl sijui lini unaijua epl wewe kuwashinda wakina neville?
Chelsea star Eden Hazard will never reach the levels of Cristiano Ronaldo, Lionel Messi and Neymar because of his lack of ambition, according to Gary Neville and Graeme Souness.
najua hii kitu itakutesa sana kwa kuwa hamkuwah kuwanavyo ndo mana kwa sisi tuliozoea wachezaj wakubwa kuwa nao tunapowaambia huyo wa kawaida mnapata shida sana kuamini tulikuwa na wakina christiano ronaldo, beckham
mkuu basi nenda jukwaani kwako ukachangamshe,Tatizo lako unajikanyaga kanyaga tu naona sasa umeenda kwa akina Messi na Ronaldo kwani nani alisema Hazard yupo level hizo?
mbona unazidi kudhihirisha jinsi gani we ni mwehu? ulianza kusema Hazard yupo level sawa na Martial na Rashford nilivyokubana ukahamia Hazard kazidiwa na KDB na Silva nikakupa mafanikio ya Hazard kwa timu yake na binafsi akiwa EPL ndani ya misimu mitano hapo bado sikugusa maswala ya magoli,assists,dribbles,take ons na njanja zengine nimekwambia nipe hayo mafanikio ya hao unaosema wamemzidi ndani ya EPL katika nafasi yake unaanza kumtaja neymar hizo kama sio bangi za chooni ni nini?
ni kweli hata kombe moja hatujachukuaTangu aondoke Faguson Mwanitesa United haijawahi kuwa timu nzuri ni maneno ya mashabiki tu ......
Tulizeni mishono *****
atalalaje na viatu mkuu?Waache chura wapige kelele lkn tembo Hazard atakunywa tu maji.
Wanalinganisha mauza uza na na Fundi Hazard?
Wakamuulize Herrera usiku wa jana km kalala bila viatu