Manchester United (Red Devils) | Special Thread

bailly lingekuwa bongo halafu linacheza ndondo sijui lingekuwaje maana liko ulaya lakini linacheza kama beki la ndondo
Leo naona alikua too excited ila ingetucost kama refa angetoa penalty, Martial amecheza poa sana ingawa amepiga poor penalty.
 
Kijana wetu bailly alikua hana discipline leo, ila tumepata point 3, na tumeingia last 16.....
Bado hatujaingia. Tuna 12 points wanaotufuata wana sita. Fc Basel akitufunga akimfunga Benfica halafu CSK wakitufunga halafu wakimfunga Benfica wote watakuwa na 12 points watapita sisi tutabaki.
Tunahitaji 1pount.
 
Inshu sio point inshu ni magoli ili basel na cska wapite inabidi watufunge magoli kuzidi yale tuliyowafunga kitu ambacho ni kigumu
 
Rondo kakueleza vizur sana magoli hayana maana tunahitaji point moja kukata nafas ya uhakika ushindi wa cska moscow ulitibua
 
Bado hatujaingia. Tuna 12 points wanaotufuata wana sita. Fc Basel akitufunga akimfunga Benfica halafu CSK wakitufunga halafu wakimfunga Benfica wote watakuwa na 12 points watapita sisi tutabaki.
Tunahitaji 1pount.

upo sahihi tunahitaj point moja tu kufuzu
 
Huyu dogo El Shaarawy anachowafanya Chelsea ni Mungu anajua!
Mkuu imenishangaza perot kumpekenyua mwenzie madole matakoni baada ya kushinda goli la pili.Sijui kama uliiona hii
Hawa wazungu sijawahi kuwaelewa
 
Nilishangaa mkuu, sijui wana utani gani hawa.. Maana wamechekeana tu
 
Inshu sio point inshu ni magoli ili basel na cska wapite inabidi watufunge magoli kuzidi yale tuliyowafunga kitu ambacho ni kigumu
Unajua maana ya 'mathematically possible' kwenye soka? Kama unajua utaekewa nasema nini. Bado hatujapita group stage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…