Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani jana mlifungwa si nasikia Mange kimambi alisawazisha dk za mwisho kabisa
Poor man utd

manchester kafungwa mechi moja jamaa linaandika poor manchester united hawa ndo washabik wa mpira wa tz wa pili ktk ligi,uefa anaongoza kundi lake arsenal chelsea wamepigwa mech ngap? bora hata liverpool mkiambiwa united ni baba lenu mnakataa sasa kama mechi moja kupoteza kwa united mnapata shaka huoni ni ukubwa wa timu?
 
Ukubwa gani? Kwanza Epl mara ya mwisho mmechukua mwaka gani wenzio sisi ndani ya misimu mitatu ya mwisho tumechukua mara mbili nyie hata hamjulikani kwa nini nisiseme poor mama esta united
[HASHTAG]#poor[/HASHTAG] man utd
 
Man u hawana lolote kazi kuchonga tu mpira hakuna na msimu huu lazima warudi nafasi yao walioizoea ya sita
Ngoja baada ya gemu mbili zinazokuja mtaona wenyewe
Kwisha habari yenu
 
Ukubwa gani? Kwanza Epl mara ya mwisho mmechukua mwaka gani wenzio sisi ndani ya misimu mitatu ya mwisho tumechukua mara mbili nyie hata hamjulikani kwa nini nisiseme poor mama esta united
[HASHTAG]#poor[/HASHTAG] man utd
Baada ya filimbi ya mwisho,tuliwategemea sana humu
 
Ukubwa gani? Kwanza Epl mara ya mwisho mmechukua mwaka gani wenzio sisi ndani ya misimu mitatu ya mwisho tumechukua mara mbili nyie hata hamjulikani kwa nini nisiseme poor mama esta united
[HASHTAG]#poor[/HASHTAG] man utd
Well said
 
Nimegundua manchester ni kipenzi cha wengi kuanzia mashabiki na haters.. Jana kufungwa watu wameanzisha thread kibao humu eti sasa tutalala vizuri
..
Sijawahi kujua kuwa kuna watu wanapata shida sana na United kuwa inashinda tulieni tu mtakuja kupata sukari bure, wote mmejaa humu mnaponda daaah
 
Endelea kugundua
 
Ukubwa gani? Kwanza Epl mara ya mwisho mmechukua mwaka gani wenzio sisi ndani ya misimu mitatu ya mwisho tumechukua mara mbili nyie hata hamjulikani kwa nini nisiseme poor mama esta united
[HASHTAG]#poor[/HASHTAG] man utd
Ninawasi wasi na uelewa wako Wa soka nenda kashabikie lipuli
 
Ni ukweli usiopingika na ukweli ambao mashabiki wengi wa Man Utd hawataki kuukubali na mtu akiusema ukweli huo huishia kuambiwa hajui mpira....utaambiwa shabiki feki wa Man utd.

Mimi ni shabiki wa Man Utd na ni shabiki mzuri na ninaipenda Man Utd Kindakindaki.Tangu kuondoka kwa Fergie Man Utd tumekuwa tunahangaika na timu yetu hasa kwa makocha.Baada ya Fergie alikuja Moyes akatimuliwa akaja Van Gal akaondoka akaletwa Mourinho.

Katika hao makocha wote afadhali hata Moyes nilikuwa na matumaini kuliko wengine lalini wengi hawakumpenda.Sasa tunae Mourinho na tangu zinaanza fununu kuwa atakuja Man utd nilikuwa napinga kwasababu si kocha mwenye uwezo wa kufundisha Timu kubwa ya man Utd.Lakini wengi walimkubali lkn yanayoendelea ni ushahidi tosha wa uwezo wa Mourinho.

Hebi niambie unatumia pesa nyingi kumsajiri Lindelof,unatumia pesa nyingi kumsajiri Lukaku halafu unamtegemea mchezaji kama Fellain, Smalling, eti wakusaidie uje uchukue ubingwa mbele ya Man City ambao hakik wamekamilika kila idara na kocha wao ni bora kabisa.

Hivi wachezaji kama Aguero,Gabriel Jesus, Otamendi unaweza kuwananisha na nani pale United?Ukiangalia mchezaji mmoja mmoja ni wachezaji wachache sana ambao wanafaa kuendelea kuichezea Man Utd.De Gea,Rashford,Valencia, hawa afadhali wanastahili kuwepo pale.

Tukirudi kwenye mechi kadhaa tulizocheza EPL na champions league utaona ni jinsi gani timu ilikuwa ina strugle na hata katika mechi tulizoshinda au kutoa sare tulibahatisha na si kwakuwa tuna timu nzuri.Wapinzani wetu wanaposema tunashinda mechi zile tunazocheza na timu ndogo hawakosei ila Man Utd fans hatupendi kuusikia ukweli huu nchungu.Tunapoambiwa timu yetu si nzuri tunatoa maneno yote ya kejeli na kusahau huo ndiyo ukweli.Ukweli utakusaidia kujua mapungufu yako ili ujirekebishe.

Katika timu kubwa ambayo tumecheza nayo ni Liverpool peke yake ambayo tulipaki basi tukaambulia sare.wikiend ijayo tunacheza na spurs ambao kiukweli ni wazuri kushinda hata sisi naamni tukijitahidi sana tutapata sare hofu yangu ni pale tutakapokuta na noisy neighbours Man city....mkono utatuhusu.Sahau kuhusu majeruhi tulionao Man utd haina kikosi cha kujivunia cheke kukupa matumaini kila ichezapo bali tunaenda kwa bahati tu.

Mwisho niseme kwa timu tuliyonayo na kocha tuliyenaye kuchukua ubingwa ni kwa neema tu za Alah na wala si kwasababu tuna timu nzuri kushinda Man city chlesea au Liverpool.

GGMU
 
Mkuu mshukuru Mungu kakujaalia upeo wa kuelewa unachoangalia na siyo kuangalia tu bila kuelewa.
 
Ngoja waje watoe koments zao......sisi majirani haituhusu kabisa
 
Ukubwa gani? Kwanza Epl mara ya mwisho mmechukua mwaka gani wenzio sisi ndani ya misimu mitatu ya mwisho tumechukua mara mbili nyie hata hamjulikani kwa nini nisiseme poor mama esta united
[HASHTAG]#poor[/HASHTAG] man utd

cheki huyu nae alichoandikwa ila sikushangai kitimu chenyewe cha 2004 sasa sijui nae leicester city kawa mkubwa 2013 ni mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…