Rashford ni mzuri akicheza kwenye namba yake ya stricker lakini akitokea pembeni kuna vitu anafanyaga ambavyo vinamfanya aonekane sio mzuri kama chenga nyingi mpaka anapoteza mipira na kusababisha kuanza kuitafuta tena lakini akitulia mbele hatari huyo mtu