Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho Surprisingly Rejects Multiple Offers For Struggling United Player

James Wilson was subject to a number of loan bids, but Manchester United decided not to let the player leave, as per Daily Mail.

Manchester United didn’t give into the temptation of loaning out James Wilson due to player’s ongoing recovery from cruciate ligament injury. The young striker has been on the sidelines since picking up his horrible injury in October last year

halafu kuna watu wanakwambia mourinho hawaamini madogo
 
If you are not good enough you'll be benched.

simple as that.

Slippy Gerald, you served football.

Mkuu Samahani Sikuulizi na nia Mbaya! Lakini Je Hamkuwahi Kumbid Huyu Morata??
Na je Main Target Yanu ilikuwa ni Kweli Kwa Lukaku! au Morata??

Then, Why unasema he is not Good enough? Au Ndiyo maneno ya Mkosaji? Mkuu weka hakiba ya maneno...
 
Ungetafuta habari kwanini Pereira kaenda Valencia na sio kumshambulia Mou bila sababu ya msingi. Katoka Pereira kaingia McTomminay sasa sijui utasema nini tena?
 
Tatizo umezoea timu yako kuwa na wachezaji 13, angalia jinsi Madrid ilivyo. Unadhani kuchukua La Liga na UEFA ingekua rahisi kama wasingekua na kikosi kikubwa?
CR7 kakaa benchi msimu uliopita hl aweze kucheza UEFA, Modric, Kroos walikaa benchi na kuachia wengine wacheze hili wasichoke haraka.
Nyie endeleeni na kikosi chenu cha wachezaji 13, wakipata majeraha mnanza kulia.
 
Mkuu Samahani Sikuulizi na nia Mbaya! Lakini Je Hamkuwahi Kumbid Huyu Morata??
Na je Main Target Yanu ilikuwa ni Kweli Kwa Lukaku! au Morata??

Then, Why unasema he is not Good enough? Au Ndiyo maneno ya Mkosaji? Mkuu weka hakiba ya maneno...

Main target alikua ni Griezmann, baada ya Zlatan kuumia na kuonekana atakaa nje mda mrefu wakaweka target nyingine ni Lukaku na Morata.
Upande wa Morata ilionekana nj rahisi kumpata kuliko Lukaku ambae alionekana atarejea darajani.

Dili la Morata lilisuasua baada ya Madrid kutaka kitita kikubwa sana, ndio wakajaribu na kwa Lukaku.
Wakati huo Lukaku akisubiria Chelsea wapeleke dau la kumchukua, Chelsea wakawa wanasuasua. Ndipo Mourinho akampigia Lukaku simu akaongea nae kwa masaa mawili, Lukaku akaamua kuja OT na Ed Woodward akatuma dau lake likakubaliwa.
Baada ya dau la Man United kukubaliwa na Chelsea wakashtuka, wakatuma dau sawa na la Man United lakini wakawa wamechelewa.
 
Obsessive-compulsive disorder (OCD)
 
Mkuu Samahani Sikuulizi na nia Mbaya! Lakini Je Hamkuwahi Kumbid Huyu Morata??
Na je Main Target Yanu ilikuwa ni Kweli Kwa Lukaku! au Morata??

Then, Why unasema he is not Good enough? Au Ndiyo maneno ya Mkosaji? Mkuu weka hakiba ya maneno...

target ilikuwa kwa greizman kaangalie dau walilotajiwa manchester united kwa morata halafu walilipa kiasi gani kwa lukaku utajua ulikuwa ni mchezo wa akili sana kama manchester wangemtaka morota ile hela wangetoa mara moja plan b ilikuwa lukaku huwezi kuweka bayana wakat mahusiano yao na mourinho hayakuwa poa ilihitajika akili ya ziada ndo mana alitumika had pogba kumtoa out lukaku.
 
Manchester United UEFA Champions League full squad:

David De gea (1)
Sergio Romero (20)

Antonio Valencia (25)
Victor Lindelof (2)
Eric Bailly (3)
Marcos Rojo (5)
Phil Jones (4)
Chris Smalling (12)
Luke Shaw (23)
Matteo Darmian (36)
Daley Blind (17)

Marouanne Fellaini (27)
Paul Pogba (6)
Ander Herrera (21)
Henrikh Mkhitaryan (22)
Juan Mata (8)
Nemanja Matic (31)
Micheal Carrick (16)
Ashley Young (18)
Anthony Martial (11)

Zlatan Ibrahimovic (10)
Romelu Lukaku (9)
James Wilson(29).

There is no need for u21 players to be registered.

Hence no Rashford in the list.
But he can play.
 
Yap kuna A list na B list, Hiyo ni A list na
B list includes: Joel Pereira, Tuanzebe, McTominay, Rashford.
 
Ungetafuta habari kwanini Pereira kaenda Valencia na sio kumshambulia Mou bila sababu ya msingi. Katoka Pereira kaingia McTomminay sasa sijui utasema nini tena?

I'm Sorry! Tofautisha Kati ya "Quoting" na "Blaming/attacking"
 
You kill it, akirudi kwa hili jibu naomba unishtue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…