Kweli man, miaka sita umefunga magoli tisa, mechi zenyewe alizoperfom vizuri zinahesabika, alafu mjinga mjinga anakuja na 40 mill walahi ningekua mimi ningewakodia hata gari ya kuja kubeba mazaga yake.
Mou aliahidi kuna surprise anatuandalia nasubiri niione japokuwa duru za kimataifa zinasema hakuna mishe mishe sana pale old trafford....wala fax machine hazishikwi shikwi
Hallow wadau, Nawasihi mkae ndani na msitoke nje.....Huko Nje arsenal wanajaribu kumsajili mtu yeyote watayekutana nae njiani. Leo ndo mwisho wa usajili. ♂♂♂