Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Wee endelea kusubiri, mpaka wakianza kupunguza point tayara tumeshatangazwa mabingwaTumeanza kupunguza idadi ya magoli.
Kutoka kushinda 4 mpk 2
Kitambo kidogo tutaanza kupunguza na point...
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you for timely updates.Bye bye till next time
Mbona mimi nimeona tumecheza vizuri sana mkuu ila tatizo wapinzani wame-defence sana hasa kipindi cha kwanza ila ni moja kati ya mechi bora kabisa hii ya leo mpira umechezwaKwa kifupi leo tumeshinda bila kucheza vizuri hiyo ni dalili ya kuchukua ubingwa
Wameshaanza kuuliza kwa nini lukaku na Pogba hawajafunga.Cute b and Co pikeni chakula kingi watakuja tu kuuliza kwa nini tumeshinda mbili.
Tumeanza kupunguza idadi ya magoli.
Kutoka kushinda 4 mpk 2
Kitambo kidogo tutaanza kupunguza na point...
Sent using Jamii Forums mobile app
haa haa haa we mrembo unavituko!Daaah nilibana ..... Tusifungwe Nafurahi kwamba sikubana bure.
Achaaaaaaaaaa njaaaaaaaaaa.Tumeanza kupunguza idadi ya magoli.
Kutoka kushinda 4 mpk 2
Kitambo kidogo tutaanza kupunguza na point...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji736] [emoji736]Kwa kifupi leo tumeshinda bila kucheza vizuri hiyo ni dalili ya kuchukua ubingwa
Muite hadi manager [emoji3][emoji3][emoji3]
Ahsante kwa kushirikiMAN U leo mnachezea kichapo cha mbwa mwizi....mlishazoea kucheza na timu mbovu mbovu leo lazima muangukie pua
Shindwa pepoooo!Tumeanza kupunguza idadi ya magoli.
Kutoka kushinda 4 mpk 2
Kitambo kidogo tutaanza kupunguza na point...
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh mkuu ulibana niniDaaah nilibana ..... Tusifungwe Nafurahi kwamba sikubana bure.
Hahaaa...Kwa heshima napenda kuwapongeza wote mliokuwa mnatoa updates ,
Mkuu Rutashubanyuma asante Sana kwa updates.
Mkuu Waseme asante sana