Wamekwisha kusalimiana
Mourhnio anachukua nafasi yake
Ni makelele uwanja mzima umezizima
GGMUWanaingia uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekwisha kusalimiana
Mourhnio anachukua nafasi yake
Ni makelele uwanja mzima umezizima
GGMUWanaingia uwanjani
De Gea anatoa pasi fupi
Ni Leicester wana mpira
Baada ya Leicester kujitutumua na mashambulizi mawili wamejikuta wakifuta counterattack
Faulo ya Manutd
Hawa Leicester wanajituma ila wakifungwa kimeo
De Gea kupiga
Mpira uko goli kiki manutd
Tupo pamoja mkuu.Blind katoa ni wa kurusha