Ahsante kwa kuchangiaSasa nyie MWANITESA YUNAITEDI leo ndo mnaanza Ligi sasa, Ushindi wa leo utatoa mwanga kidogo na wala sio mabonanza mlocheza wiki mbili zilizopiTa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwanini huwa tunapangiwa kulike mara moja tu😀😀😀😀
Mwambie ivi msimu waliochukua ubingwa tuligawana pointi nje ndani
HahahahahaaaaaaaSijui kwanini huwa tunapangiwa kulike mara moja tu😀😀😀😀
Hhahaa pepo wwMAN U leo mnachezea kichapo cha mbwa mwizi....mlishazoea kucheza na timu mbovu mbovu leo lazima muangukie pua
😀😀😀😀😀😀 ah kwakweliSijui kwanini huwa tunapangiwa kulike mara moja tu😀😀😀😀
Leo tunatakiwa tuendeleze tulicho wafanyia msimu uliopita
Yatunze maneno yako usije yakana baadaeMAN U leo mnachezea kichapo cha mbwa mwizi....mlishazoea kucheza na timu mbovu mbovu leo lazima muangukie pua
Makocha walitaka kuzipiga mpira ulisimama kidogoMan City kashinda 2-1, goli la ushindi dakika ya 97. Mechi iliisha dakika ya 111. Sijui kulitokea tatizo gani hadi mechi kuchelewa namna hiyo.
Gudiola anataka ahamie kwenye masumbwi ha ha ha haMakocha walitaka kuzipiga mpira ulisimama kidogo
Anasajili tu mabeki ila na wenyewe hamna kituman city na usajili wote ila amna kitu bora hata kile kikosi cha mwaka jana
Sent using Jamii Forums mobile app