[HASHTAG]#EqualGame[/HASHTAG] ndo campaign mpya ya UEFA kwamba kila mmoja atafurahia mpira haijalishi we ni nani, umetokea wapi au jinsi gani unavyocheza
Kwenye mpira kuna game plan, alafu huwa haipo moja kocha anaamua kwa plan hii nanza na wachezaji flan...ila navohisi kwasbab kuna watu wecheza na kuipa matokeo timu kocha anaweza asibadili sana kikosi.