Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sometimes ukiwa na mbio mpongeze na anaekukimbiza. Swansea wamejipanga,walijua wanakutana na nini. Na njia mojawapo ya kuwafunga ni mipira ya adhabu. Kipindi cha pili kitakuwa kizuri.
 

Ndo mpira utaenda spidi uku unakutana na ukuta mbele? Pale raia wanacheza kwa akili mingi. Slow but sure. Ndomaana utaona tumewakosa goli 3 za uhakika. So kipindi cha pili lazima wakae tuu maana goli moja hili litawafanya wafunguke waachie mbawa za Rashford, Mata na Miki ili wampe Lukaku nini anataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…