Kwa jinsi navyoitazama sasa hivi hii mechi ya man utd vs west ham,hakika utd imebadirika na imeimarika kwa kiasi kikubwa.Na natarajia moto huu utaendelea hadi mwisho wa msimu ikiwezekana kutawazwa mabingwa wapya wa EPL.chelsea,arsenal,man city,liver pool,tottenham fans kujiandaa kisaikolojia.