Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Game za lingard hizi nadhani ataingia ili aonyeshe maajabu yake....mik naona kama kapotea fulani hivi so far tumecheza vema...GGMU
 
Tuseme ule ukweli mi naona man u hii sio ile ya mwaka jana! Mou kaifanyia marekebisho makubwa mno, pogba leo kafanya kazi kubwa sana! Huyu matic hata psg wakitoa vihela vyao vyote benki hatuwapi! Matic ni dhahabu! Ligi ndio imeanza vijana waendelee ivi ivi, WH ni wagumu na wanawachezaji wazuri sana sio mbaya kwa hilo goli moja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…