Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Star of the show: Messi was named man of the match
in Barcelona's brilliant win
 

Wacha unafiki wewe siku Gunners walipowafunga Barca uliugua tetekuwanga chacha umechezea kichapo jana njoo, umalize msiba tena hakuna mechi hadi August chacha haya matanga chijui yataishaje khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee






Three amigos: Andres Iniesta, Seydou Keita and Eric Abidal
pose next to the trophy
 
Mshamaliza kuwanga kwa kisingizio cha kutoa pole?
Maana wenye msiba tushamaliza kuomboleza sasa tunataka kuendelea na maisha ya kila siku.
 
Kuanzia saa nne asubuhi British Standard Time kutakuwa na Trophy Parade, MUTV watakuwa wanaonyesha live both kwenye tv na online kupitia kwenye hii address Manchester United Official Web Site - MUTV sina uhakika kama inabidi usign up ili kuweza kuona streams au la.

Picha kutoka mitaa ya Greater Manchester.
 
The Mirror wanareport kuwa Berbatov plus cash for Luka Modric, well kama ni kweli nadhani itakuwa deal nzuri ingawa sitopenda Berbatov aondoke lakini baada ya kitendo alichofanyiwa na SAF sintomlaumu akiondoka, kutomweka Berbatov kwenye benchi ni moja ya maamuzi ya kipuuzi ambayo SAF ameyafanya klabuni mojawapo ni kumuuza Jaap Stam.

Kuna nyepesi nyepesi zinasema kuwa Ashley Young alionekana Carrington ijumaa kwa ajili ya medical na kuangalia facilities.

Paul Scholes amestaafu rasmi baada ya miaka 17 kama mchezaji wa Man Utd, katika vitu ambavyo sikuwahi kuvifikiria ni Man Utd bila Scholes na Giggs.
Stats za haraka haraka,
Mechi 676
Goals 150, 26 kwenye Champions League.
Kadi za njano 90, Nyekundu 4 (Premier League), booked mara 32 kwenye Champions League.
Trophies
Premier League 10
The F.A. Cup 3
F. League Cup 2
Comm Shield 5
Champs League 2
Intercontinental 1
Club World Cup 1
 
:mimba:
Mshamaliza kuwanga kwa kisingizio cha kutoa pole?
Maana wenye msiba tushamaliza kuomboleza sasa tunataka kuendelea na maisha ya kila siku.


Kama Ada msiba huisha wakati mnaifunga timu nyingine hata sare huwa haihesabiki kama ndio mwisho wa matanga khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee imekula kwenu au twambie kama mlicheza wakati watu wamelala na matokeo yalikuwaje!

BTW nasikia mnafanya summer clearance khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: Mbu



Doubled up ... Barcelona stars with their trophies yesterday







The greatest ... Messi with trophy at the Nou Camp








On song ... ace Pique joins Shakira last night




 




Ferg-et it ... Sir Alex Ferguson and Ryan Giggs


Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


Net loss ... Edwin Van Der Sar and missus



Platform shoes ... Coleen and Wine Romney
 




Hands up ... team celebrate on top of bus


Hivi ukipanda bahasha unategemea kuvuna nini? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Dah hapa alaska chacha uchiku wa manane tea break! Phew khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 



Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


Against the odds: Messi plays one against five... and keeps the ball





Bitter taste: Wine Romney (left) comforts Javier Hernandez

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Better than Maradona: Messi (right) fires home a brilliant
second to draw comparisons with the very best


The sucker punch khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Watch the title parade live

MUTV and ManUtd.com teamed up to show the league trophy presentation live on 22 May - and it will be the same again on Monday 30 May when the Reds parade the silverware around Manchester.

Thousands of fans are expected to line the city's streets to catch a glimpse of the champions
on an open-top bus but you can get the best view by following MUTV's live coverage on the channel or alternatively on ManUtd.com for free. The parade will begin at 10:00 BST at Manchester Cathedral and finish at Stretford Mall on Chester Road at approximately 12:35 BST.
If you have not previously logged in to ManUtd.com, we advise you to save time on 30 May and register your details now. It only takes a couple of minutes to register but we want you to access the live footage as quickly and easily as possible.
Re gister your details here
 
Mshamaliza kuwanga kwa kisingizio cha kutoa pole?
Maana wenye msiba tushamaliza kuomboleza sasa tunataka kuendelea na maisha ya kila siku.

Waache tu wakae hapa ili waendelee kujifariji na machungu ya kukosa vikombe kwa muda mrefu na hasa mwaka huu kwani ushirika wao wa Arsenal, Chelsea and Liverpuli hakuna timu hata moja iliyoambulia kitu msimu huu.
 
I must say nimekuwa surprised kumuona Berbatov kwenye parade.
 
SAF alikuwa anaimba "are you watching this merseyside?"... The irony is Leo ni birthday ya Steven Gerrard, must hurts kuwa kapteni kipindi ambacho arch rivals wako wanavunja record yenu.
 
SAF anaongea...!
Amezungumzia future both on the pitch na kwenye stands, vile vile kazungumzia kuhusu kukuza vipaji. Habari kamili inapitikana MUTV na manutd.com
 
Manchester United imefungwa na timu bora hakuna sababu za msingi mashabiki na manazi wote wa Man kusikitika, tumejitahidi kiasi cha kutosha sasa ni wakati wa kujenga timu upya hasa sehemu ya kiungo damu mpya ni lazima.

Ni kichekesho wapenzi wa Arsenal na Chelsea ghafla wamesahau Manchester United ni bingwa wao,nilitegemea Baba[ManUtd] akipata kibano watoto [Arsenal,Liverpol na Chelsea] wajiulize wao wangefanywa nini ?.

Ni ukweli ulio wazi Manchester United ya sasa haikuwa nzuri nilitegemea timu kama Arsenal na Chelsea wangetake advantage lakini wapi wameshindwa kutumia nafasi hiyo wasahau msimu unaokuja wasitegemee kutusogelea hata kidogo tutawaacha kwa points 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…