aiseeee naunga mkono hojaAngalia data za Morata halafu ndio utajua ni kwanini alifatwa. Uyo Dier ambae hawezi kupata namba hapo Spurs ndio unataka aje kuwa namba 6 wetu? Weka mahaba pembeni kijana.
aliewatoa mafichoni na kuwasafisha duniani na wao kujulikana kupitia ubingwa wa eplHii klabu mbovu inafundishwa na kocha aliyekufanya uishabikie Chelsea
Download app inaitwa MOBDRO kuna MUTV mubashara kabisa wala haina chengajamani mwenye link itakayoonyesha mpira wa kesho asubuhi naomba anisaidie hapa
Hahahaha lakini si unajua substution huwa ni tim nzimadaaaahhh...kakikosi kanafanya nianze kuhisi usingizi
Post sent using JamiiForums mobile app
najua ndugu...sema ngoja niiangalie tu maana nimekaa macho mpaka saa hii kwa ajili ya hii game...i miss to see my team playingHahahaha lakini si unajua substution huwa ni tim nzima
Sure lets watch it maana sub ya kipindi cha pili imekaa poanajua ndugu...sema ngoja niiangalie tu maana nimekaa macho mpaka saa hii kwa ajili ya hii game...i miss to see my team playing
Post sent using JamiiForums mobile app
Mechi sa ngapi kwa saa za Tz mkuu?najua ndugu...sema ngoja niiangalie tu maana nimekaa macho mpaka saa hii kwa ajili ya hii game...i miss to see my team playing
Post sent using JamiiForums mobile app
wajinga hao wamefanya watu tukeshe kuwasubiria wao halafu wanafanya upumbavuView attachment 543254 jaman kinachoendelea kwenye MUTV ya azam ni mechi recorded ya chelsea huku kweny app ya mobdro ni live match na lagalaxy hapo ndio nashindwa kuelewa kabisa
Mkuu hata mie nilitegemea itaonyeshwa kupitia king'amuzi cha Azam, naujutia usingizi wangu tu sasaView attachment 543254 jaman kinachoendelea kwenye MUTV ya azam ni mechi recorded ya chelsea huku kweny app ya mobdro ni live match na lagalaxy hapo ndio nashindwa kuelewa kabisa
Mkuu hata mie nilitegemea itaonyeshwa kupitia king'amuzi cha Azam, naujutia usingizi wangu tu sasa
Post sent using JamiiForums mobile app
View attachment 543254 jaman kinachoendelea kwenye MUTV ya azam ni mechi recorded ya chelsea huku kweny app ya mobdro ni live match na lagalaxy hapo ndio nashindwa kuelewa kabisa
😀😀😀😀 hapa mobdro iko inatafuna bundle langu maana azam washazingua
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Kweli mkuu wajiunge na mimi tuu tumalize hizo mb'sPoleni mngekuwa na mobdro yasingewakuta 3-0 sasa, rashford 2, fellain 1. Fellain kajifanya scholes leo....
Post sent using JamiiForums mobile app