Awape sifa yao kwa kuwaita waviziaji na sio wavivu goal poachers walikuwapo kutokana na mifumo iliyokuwepo tukumbuke mpira unapita katika kipindi tofauti so mshambuliaji jukumu lake ilikuwa kucheka na nyavu ni ufundi ýaqub aigben wa nigeria katika world cup moja alikosa goli mita moja toka golini. Huwa nikimtizama chicharito nakikumbuka kizazi cha tore Andrew flo kina pippo na Rvn