Ilikuwa burdan ya aina yake wakongwe hawa walipokutana karel utu uzima zile nywele zake nyingi hazipo tena blomqvist kamwili kako vilevile van de goew alifanya save moja matata sana kiukweli wamenikumbusha mbali zile cross za mikel ilikuwa burdan
Wachezaji wenzie na baadhi ya mashabiki walivyokuwa wanapishana kupiga nae picha hakika mtu huyu alifanya mengi katika waqt wake wa soka tabasamu kwa kwenda mbele vitendo viwili vitatu hakuacha kuvifanya