Poleni washabiki wenzangu kwa kipindi hiki kizito,matumaini yamekuja matumaini yamepotea,kikubwa ni tushike sana kile tulichonacho angalau tupitie huko tutakutana nao huko huko juu,but all in all thanks God this year pamoja na ugumu wote mkali hatujatoka kapa na ni imani yangu ngweee hii iliyopo mbele yetu hatutatoka kapa,we will make it...... GGMU.