hawana cha kupoteza that y sisi tunakuwa makini,sisi ndio now Wenye kuhitaji Ushindi kuliko wao,ndio mana unaona wanakuja sana upande wetu,ila tumekosa magoli mawili ya waziMh hawa jamaa bila kuongeza la 2 watatuangusha si kwa spidi hii
Hata mimi naona kwa kiwango chao bado tunakazi kubwaMh hawa jamaa bila kuongeza la 2 watatuangusha si kwa spidi hii
ilikuwa mbaya sanaWamekosa goli
Mtu analaumiwa anapofanya ujinga mkuu!! Huoni hata morinyo analumiwa humu timu ikifungwa??Mbona Leo Sion Mkimlaum Maluani Felain
Hatumlaumu leo kiwango ni juu sana. Hasa kuunganisha ile kross ya Rashford.Mbona Leo Sion Mkimlaum Maluani Felain