Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashford inabidi apunguze kukimbizana na mpira na kuachia mashuti au kutoa mapande
 
kipindi cha pili inatakiwa tumalize kabisa game ili mechi ya marudiano tusipate kazi tukiwagonga hata 3 tutakuwa tumemaliza kazi
 
Pia timu pinzani haigusi mpira au ikiupata ni kwa nadra tena baada ya kijasho kuwamiminika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…