Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,821 Hii Manutd ya leo ina sura mbili
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,822 Kabla ya goli la Ibra na baada ya goli
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,823 Kabla ya goli walikuwa ile Manutd chovu ya kipindi cha kwanza ambayo inahitaji kushtuliwa na kufungwa ndiyo ichangamke
Kabla ya goli walikuwa ile Manutd chovu ya kipindi cha kwanza ambayo inahitaji kushtuliwa na kufungwa ndiyo ichangamke
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,824 Lakini baada ya bao la Ibra ikawa ni ile Manutd ya kipindi cha pili ichezayo kutafuta ushindi
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,825 Bado ni mapumziko
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,826 Baadhi ya wapenzi wa Sunderland wanamzomea Herrera lakini kwa lipi?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,827 Ukiinua miguu yote miwili ni red tu hakuna jinsi
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,828 Redknap mchezaji wa zamani wa Liverpool anadai siyo red eti yellow yaelekea ana hofu Liverpool huenda ikakosa top four finish
Redknap mchezaji wa zamani wa Liverpool anadai siyo red eti yellow yaelekea ana hofu Liverpool huenda ikakosa top four finish
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,829 Kipindi cha pili kinaanza
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,830 Manutd wanaanza
Waseme JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 2,611 Reaction score 4,119 Apr 9, 2017 #62,831 Mik goooo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,832 Manutd musimu huu point nyingi wa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,833 Goooooooooo Mhiki
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,834 Sekunde ya 30 ya kipindi cha pili Mhiki apachika bao la pili
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,835 Dakika ya 47 Sunderland 0-2 Manutd
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,836 Sioni Sunderland kupona leo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,837 Yaani wacha tu leo kiwango juu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,838 Faulo Ibra yuko chini
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,839 Kainuka aligongana na kipa wa Sunderland
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 9, 2017 #62,840 Freekick ya Sunderland