Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lakini Ibra alivyoweza kugeuka ghafka na kupiga shuti ya chini chini kwa kweli ni bao spesheli kabisa
 
Sunderland dakika za mwanzo walitawala mpira ila hadithi yao ni umaliziaji mbaya na ndiyo maana wanashika mkia wa ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…