Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Offside Pogba
Tupo pamoja sana.Rashford kaongeza maujuvi ya kukaba enzi zile za Arsenal gone
hahahahaahaha mkuuu ila jamaa fundi sema anaonekana kama injury proneMikhi ana kipaji cha kuumia
Akikazana atamkuta wilshere