Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawawezi kuja huku leo wanaugulia . Wengine wanatudhihaki, tunacheza futuhu huku wao wanatamani kushiriki hiyo futuhi


wakat kuna timu moja kubwa inacheza juma pili had juma pili kama NICE ya balotel wanaliponda futuh walishindwa hata kumaliza nafas hiyo ya futuh walikuwa wanahaha kushuka daraja kama leicester city kwa sasa.
 
Mi naona priority ni kubeba Europa kuliko nafasi ya tatu au laaa tukinyanyua futuhi yetu bhas njia nyeupeeee uefaaa ile kuna jamaa zangu Jana wakati tukiangalia mechi ya tote alisema yeye haangaliagi futuhi anangaliaga uefa champions ila chakushangaza hiyo uefa ilimliza majuzi hivi bora futuhi watu wanachekaaaa
[HASHTAG]#ggmu[/HASHTAG] tuko vizur sanaaa this time
 
Paul Pogba has hit the woodwork 8 times this season

If those had gone in his goal tally would have been 15 (5 more than his best goalscoring record in Juventus )
But still he's a flop signing according to the haters

#PM



Ndoa ya pogba na kugongesha miamba bado inaendelea huyu mtu kuna watu watakuja kulia
 
wakat kuna timu moja kubwa inacheza juma pili had juma pili kama NICE ya balotel wanaliponda futuh walishindwa hata kumaliza nafas hiyo ya futuh walikuwa wanahaha kushuka daraja kama leicester city kwa sasa.
Utani mbaya huu mjomba, utani wenye ukweli ni shida.
 




For all the noise that surrounds one of the game's most charismatic characters, Ibrahimovic has quietly gone about accumulating goals at a remarkable rate. In fact, he has scored more of them than any other top-flight footballer in England in all competitions this season. His spot-kick took him to 23 for the campaign, three clear of Arsenal's Alexis Sanchez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…