Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa mashabiki wote wa soka tumekutana hapa JF tukibadilishana habari mbalimbali tunapongezana na kutaniana kuhusu timu tunazoshabikia ,now mmoja ya waasisi wa kijiwe chetu ambacho tunakutana hapa anashikiliwa na polisi.Tujitokeze kupaza sauti zetu kulaani huu unyanyasaji anaofanyiwa tusikae kimya kwenye hili tuendelee kupaza sauti kwenye mitandao yote ya kijamii(Facebook,Twitter,Instagram nk ) kulaani unyanyasaji huu.Tutumie hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Tupo pamoja nishatupia nyingi tu.
 
Tupo pamoja nishatupia nyingi tu.
Kuja hapa malkia, kwani bado una stress? Nyakati za ushindi ni sasa viva Man U, nyumba ya pili namsikia pepe guardiola amekili yeye na club yake Man City wapo kwenye kipindi kigumu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…