Henrikh Mkhitaryan na Michael Carrick ni wachezaji ambao wanaifanya United ibadilike recently. Dhidi ya Palace Mikhi hatakuwepo...na Carrick sidhani kama ana uwezo wa kucheza game 2 tough ndani ya siku 3 kwa kiwango kizuri. Ndio maana napata sana mashaka na hii game ya jumatanoLabda fellaini aanze
Kwa crystal palace ni wapesi sana kuliko west brom AlbionJamani hakuna game nyepesi mpaka ushinde tayari tumeisha shuhudia matokeo yasiyo tarajiwa hii ndio EPL
Mkishinda huwa mna maneno manenoWest Ham wameliza mtu!!! Week hii ina maajabu mhhhhh!!! Ngoja tuendeleee kucheki mambo!!
Hahahhahaha wanasema ukipata furahi ukikosa kijutie!!!!! ..... sisi hatuna maneno tunaweka mziki[emoji2] [emoji133] [emoji133] [emoji133]Mkishinda huwa mna maneno maneno
Ukuta huu ulikuwa bora miongoni mwa kuta zetu bora umenifanya ni wakumbuke pallister na stive Bruce bila kumsahau ronny johnsen siku zilikuwa nzuri hizi.Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita.
View attachment 445292
Acha maneno weka mziki...uko sad, uko happy, uko low, uko high weka muziki.. Unataka kukimbia wakati huna break... What do you expect[emoji442] [emoji444] [emoji445] [emoji441]Hahahhahaha wanasema ukipata furahi ukikosa kijutie!!!!! ..... sisi hatuna maneno tunaweka mziki[emoji2] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
Ucipate shaka utatoboa tu mkuuHenrikh Mkhitaryan na Michael Carrick ni wachezaji ambao wanaifanya United ibadilike recently. Dhidi ya Palace Mikhi hatakuwepo...na Carrick sidhani kama ana uwezo wa kucheza game 2 tough ndani ya siku 3 kwa kiwango kizuri. Ndio maana napata sana mashaka na hii game ya jumatano
Pogba vs pogbaMANCHESTER UNITED v ST ETIENNE
Yep. Florentin vs PaulPogba vs pogba
Yeah MTU na mdogo wake,wanakutanaPogba vs pogba
Tatizo ni mfumo wa mbele tu,kumuweka forward mmoja timu inakosa umakininimsifu Mourhino kwa kutengeneza Ukuta mgumu,huyu Rojo naye anasifa za kuwa beki Katili Kane jana nusu aombe msamaha kwa Rojo,Beki,Viungo kwa sasa sio tatizo tuongeze nguvu tu kwa sasa kwenye forward.
Ajitoe tu mapema asitake kuwachosha wachezaji wetuSt Etienne aage mapema haya mashindano