Halafu utaniudhiiiii nikiwa nimefika kileleni sitaki maneno ya shombo!!!!.... asanteeeeeee mylove Ntuzu.Hongereni sn wakuu naona sasa wale AntiMourinho wataanza kukaa kimya.
Lkn ngoja niwatanie kidogo....
Eti mwezi uliopita mlishinda Mara moja Na huu mwezi huu ndio ushindi wenu mtakuja kushinda tena January mwakani!
Hahahahaaa
Get well soon Mik....
Jose on Miki
Hahahaha kaka watazoea tu!!!Nunueni karatasi basi maana kufungashiwa hawajazoea walikuwa wanakuja kwetu sasa tukilazimisha wanaweza kusema chakula tumekifanyia mambo.
Their weakness is our Victory!!!!Tumeshinda safi
Tottenham wamecheza vibaya pia, sjui walipatwa na nn
Sitakiiiiiii[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Kwi kwi kwi kwi....
Nichameee my dear.....
Hii hainogi tafuta nyingine banaaa!!!!!man united wanashinda mara moja kwa mwezi ndiyo wamekamilisha December task hivyo
Imoooo[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]West Ham wameliza mtu!!! Week hii ina maajabu mhhhhh!!! Ngoja tuendeleee kucheki mambo!!
Ngapi?Imoooo[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Nimesahau hongera na wewe kwa kimoko.......Imoooo[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
LFC 1 WHT 2Ngapi?
Chante sn......Nimesahau hongera na wewe kwa kimoko.......
Safi sana.. Round ya Pili tukiwapiga hao Top four wote tunabeba.. Tushaanza na TotLFC 1 WHT 2
Siku hizi hujawahi kuwa positive kwenye timu yetu mkuu, what's wrong bro??Tumeshinda safi
Tottenham wamecheza vibaya pia, sjui walipatwa na nn