kama Wacha1 anavyosemagading dong khe khe khe khe midtable team na midtable manager at it again. Moumvinyoooooo..... Juzi alisema bado mna nafasi ya kubeba kombe. hahahahaha.
This weekend mancity kashinda, Liverpool kashinda, Chelsea kashinda, Arsenal kashinda, Manure fc mechi ya nne mfululizo wanatoa sare (record breaking nevertheless). Wasaga sumu washapata jukwaa la kufanyia fujo