hatuna world class playersMAFANS WA MAN SOTE NATAKA TUJADIRI KWANINI TEAM YETU INAENDELEA KUFANYA VIBAYA KATIKA MICHUANO MBALIMBALI TATIZO LIKO WAPI NA TUFANYE KITU GANI TUTATUE MATATIZO HAYA YANAYOWAKUMBA TIMU YETU
huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hapa ndo napoamin karick ndo mchezaj muhm pale man
Lakini mou anataka kutuaminisha tofauti, hasa big fella.Hapa ndo napoamin karick ndo mchezaj muhm pale man
Na hajapatkana Wa ku cover namba yake maana anapokuwa majeruhi pengo huonekana waz
Kwa big fella nitakuwa tofaut nae kwa 100%Lakini mou anataka kutuaminisha tofauti, hasa big fella.
huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ndio unashtuka muda huuThis makes no sense at all. Kila mtu anajua bingwa hapatikani October or November. Hizi picha zina uwalakini kibao. Mid season May 2008 na End of Season May 2009 ni misimu miwili tofauti. Aliye-photoshop hizi picha azidi kujifunza art ya photoshop.
This makes no sense at all. Kila mtu anajua bingwa hapatikani October or November. Hizi picha zina uwalakini kibao. Mid season May 2008 na End of Season May 2009 ni misimu miwili tofauti. Aliye-photoshop hizi picha azidi kujifunza art ya photoshop.
Wewe Muangalie tu Anavyojifariji!! Alisahau Kuwa January 21/04/2009 Liverpool Alidraw na Arsenal 4 - 4 ndiyo Man U akaongoza Ligi.. Lakini Kwenye Photoshoped Yake inasema Mwezi wa Mei Eti Timu zimecheza Michezo 10...! Sasa Hapo Ligi itamaliza mwezi gani???
Bruh!Nawasikitikia wapenzi wa Man Utd wanaojua kinachoendelea, wasiojua kinachoendelea wanafanya wapenzi wote wa Manchester Utd waonekane ZERO (Samaki mmoja akioza style).
Jamani Natafuta kundi la whatsapp la Manchester United niunganishwe 0654278188
Doooohhh!!! Dharau hizi!!!!Nawasikitikia wapenzi wa Man Utd wanaojua kinachoendelea, wasiojua kinachoendelea wanafanya wapenzi wote wa Manchester Utd waonekane ZERO (Samaki mmoja akioza style).
Ukweli yabisiDoooohhh!!! Dharau hizi!!!!
Aaahhh wapi!!! usione mtu kakaa kimya ukafikiri ni mjinga .....tumewazoea lakini!!Ukweli yabisi