Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukitaka kujua man utd inapendwa nenda kibanda umiza halafu timu zote zinacheza uone ni mechi ya timu gani itaoneshwa!
 
Moyes anaweza anaweza kufufukia kwa hawa washika manati jamani
 
Ukimuweka Rashford au Martial as centre foward unapoteza ability yao ya kupunguza mabeki na ku stretch defence ya wapinzani. Kwa kifupi hao watu wawili ni hatari zaidi wakitokea pembeni.
Nilipenda kumshuhudia rashford kama namba 9, sema mou nae ana mipango yako.
 
morinho akomag na dharau zake aisee.! hcho kikosi cha kucheza na mbao fc ndo unawapangia ao jamaa, subir ajionee kwa macho
 
Ukimuweka Rashford au Martial as centre foward unapoteza ability yao ya kupunguza mabeki na ku stretch defence ya wapinzani. Kwa kifupi hao watu wawili ni hatari zaidi wakitokea pembeni.
HAKUNA KAMA HICHO MKUU HEBU WACHEKI LIVER KWA FIRMINO LAKINI ANASHINDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…