Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho ananifurahisha sana kwa style yake. Best coach aisee.
 
Hahahahaha leo hakuna kucheza kutafuta draw kama last week. Kilichobaki ni kujaribu kupunguza idadi ya magoli mtakayopigwa. Mourinho Out brigade to come soon.
 
Leo Shaw na Mkhitaryan hawapo sijui Mourinho atamlaumu nani wakifungwa.
 
Huwezi kueka Mata bench ukachezesha kina Lingard na Pogba halafu ushinde bana...ni dharau!
Kwa hio ww unajua mpira kuliko mourinho.kufungwa kufungwa tu si lazima mshinde nyie
 
Namuona fergie jukwaani daaah nimeishia kumwaga chozi tu
Hii ratiba enzi zake ilikua nyepesi sana
 
Wikiend ilikuwa poa kabisa kuanzia game ya arsenal, man city na spurs, pameharibika hapa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…