Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kina Dr Eva, Hazard, Costa wana usongo wa kumuona Mourinho akilia tena baada ya yaliyotokea last season.
 
Game bado mbichi hii, hasa ukizingatia Chelsea wana beki kama Cahill ambaye anafanya makosa kila mara.
 
Tukifungwa hii mechi lawama zote kwa mou kaleta mahaba badala ya matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…