Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Hivi naomba kuuliza.....siyo kila timu iliyocheza siku ile ndiyo inatoa man of the match?, mfano man u wanatoa waona liver wanatoa wao?
Ooh asante sana......MOTM inategemewa inatolewa na nani.
Officially inatolewa na Sky Sports ndio wanampa pale uwanjani ila kila timu inaweza kushindanisha wachezaji waliocheza vizuri na kuwapa hiyo tuzo.
De Gea ni nomaà!!! Asante LVG ulicheza kamchezo kasafi sana kijana akabaki .....basi kuna watu wanakereka kuona de gea bado yupo manchester 😀😀
Aione Yule shabiki wa Liver aliye kuwa anachonga sana kwamba tulicheza 10-1wako wawili hapo?
basi kuna watu wanakereka kuona de gea bado yupo manchester 😀😀
Hahhaahahha kweli nyani haoni kundule
usichelewe uwah mapema shule unategemea kitu usichokuwa nacho au kukiona hizo si ndoto sasa au utabir na unachokitegemea kisipofanikiwa itakuwaje? Sivyo vyote unavyotegemea vikafinikwa wengi tulitegemea liver angeshinda lakin wap
Kabisa yani babu ametuachia mpaka wajukuu tunautumia.Huu ni moja ya urithi bora ambao SAF ametuachia.
Dahhh!!! Acha kabisa De gea is not a man of Sport sport!!!!!
Alinunua babu mpaka mjukuu anafaidikaKabisa yani babu ametuachia mpaka wajukuu tunautumia.
Naomba asiwe na tamaa tu akaondoka. Akitulia anaweza akadumu kwa miaka mingine 20.Kabisa yani babu ametuachia mpaka wajukuu tunautumia.
Kuna man of the match wa team husika kwa upande wao na pia man of the match wa mech husika na huchaguliwa na FA wenyeweHivi naomba kuuliza.....siyo kila timu iliyocheza siku ile ndiyo inatoa man of the match?, mfano man u wanatoa waona liver wanatoa wao?
Kwa hiyo mfanyakazi anapotegemea kupata mshahara mwisho wa mwezi anakuwa anatabiri sio? Kweli Kiswahili kigumu hata kwa waliozaliwa nacho... Nitafutie shule.
Kwa hiyo mfanyakazi anapotegemea kupata mshahara mwisho wa mwezi anakuwa anatabiri sio? Kweli Kiswahili kigumu hata kwa waliozaliwa nacho... Nitafutie shule.
Napoteza zangu muda na hii match ya Barca..
Ninalo moja tu la kusema, Hart alikuwa na Makosa yake, Ila hawa makipa wa saaa wa City, Wanaupumbavu mkubwa sana.
Guadiola atajuta sana kumuondoa Hart ilhali hakupata Mbadala wake.