Habari wakuu!! Nilipotea humu si kwa makusudi/vipigo ila ni ramani tu za maisha zilinitenga na soka, Poleni sana wanaunited wenzangu kwa kipindi kizito tulichopitia aiseee ilikuwa job true true!!!anyway yalishapita tusonge mbele.....
Pia niwapongeze wote kwa ushindi wa Leicester city,pamoja tutafika tu mdogo mdogo....... GGMU