Mi naona bado anapush sana mbele...kinachosumbua the game is very tense hamna utulivu kabisa...magoli yote kwa pande zote mbili ya mefungwa kwa school boy mistakes...nafikiri second half we are going to see a beautiful and calm football...United sasa hivi tumerudi mchezoni while City sidhani kama watagamble to push forward tena otherwise itakua game ya kupokezana
Duh, kwa mpira huu naanza kuamini Pep ni the best manager in the world, United absolutely blown away from their own turf.
Yaani city kama wamepakwa mafuta, wanatereza tu!!