Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi kwa kawaida Testimonial ya mchezaji (today ni ya Rooney) si inajumuisha wachezaji aliwahi kucheza nao (anaowachagua yeye mwenyewe) sio ya kitimu kama ilivyo leo. Inakuwaje leo inaonekana ni mechi ya kirafiki ya Manchester United vs Everton?
 
Kumbe unafuatilia mechi timu bora, safi sana

Hata sijui utaratibu wa mechi kama hizi unakuwaje
 
Hivi kwa kawaida Testimonial ya mchezaji (today ni ya Rooney) si inajumuisha wachezaji aliwahi kucheza nao (anaowachagua yeye mwenyewe) sio ya kitimu kama ilivyo leo. Inakuwaje leo inaonekana ni mechi ya kirafiki ya Manchester United vs Everton?
Kwani..hayo..unaowaona...sio..wachezaji..aliowahi..kucheza...nao...?
 
Hivi kwa kawaida Testimonial ya mchezaji (today ni ya Rooney) si inajumuisha wachezaji aliwahi kucheza nao (anaowachagua yeye mwenyewe) sio ya kitimu kama ilivyo leo. Inakuwaje leo inaonekana ni mechi ya kirafiki ya Manchester United vs Everton?

Hakuna formula ya mechi za testmonials. Mara nyingi huwa kati ya timu anayochezea mchezaji sasa na ile aliyoanzia carrear yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…