Mkuu José is what we need right now, kuna watu may be wanakua na chuki binafsi tu na mou, watu wanalalamika kuhusu young player lakini wamesahau varane alipewa namba mbele ya pepe, kuna morata, zouma na hata ballotel waliweza kupangwa na kuaminiwa,
Hakuna world class coach ambae anaweza kuturudisha kwenye kushinda mataji kwa sasa zaidi ya José na ni ambae yupo available, pia huwezi kum-crtisize kocha kwa kutowapa nafasi vijana endapo hao vijana wenyewe hawaoneshi nia ya kutaka mafanikio na kutoka, kwa mfano jaribu kuangalia ni vijana gani waliokua hawapewi nafasi na mou na wakatafuta mbinu mbadala ya kutoka?
Angalia mfano wakina pique, pogba na Drinkwater walikosa nafasi utd lakini walikoenda wametuprove wrong, na nitegemezi huko so haiitaji kocha pekee kukutoa juhudi yako pia inahusika,
Miezi michache aliyoharibu José kisiwe kigezo cha kumfanya kama ni hopeless, kumbuka kila timu aliyofundisha hajawahi kumaliza out of top three kwa miaka zaidi ya 15 ( kama nitakua sawa) Leo hii kuharibu nusu msimu akiwa na Chelsea anaonekana sio kitu, lakini kloop alimaliza ligi wa saba akiwa na BvB ndio anaonekana mchawi wa mpira,
Hizi chuki za uchelsea na umanchester zitatuletea kiungulia, kwangu Mimi José ndio kocha pekee atakaeifanya Manchester irudi kwenye umanchester wake.
Watu wanataka giggs apewe timu eti kisa gurdiola alifanikiwa barca, wamesahau pep alivokua anaachiwa timu na rijkaard timu ilikua imejitosheleza, wanakikosi full kilichokua kimefika nusu fainali kwenye CL, kikosi kina Eto'o, henry, messi, xavi, iniesta, akina puyol, toure, sasa utashindwaje kufanya vizuri? Leo hii sisi tuna akina fellain, mata, lingard na vitoto vingi then unataka giggs apewe timu, are we serious?Mpaka sasa nashindwa kuwaelewa wanaosema Giggs apewe timu. Sijajua mmeona nn kwa Giggs ktk hichi kipindi ambacho amekuwa kama kocha msaidizi ambacho sisi wengine hatukioni.
Gary Neville alikuwa anapiga kelele sana wakati akiwa mchambuzi,aliwaponda sana makocha hasa LvG huku akiwaelekeza jinsi ya kufanya,now tizama kinachomtokea.
Hapa hatujengi uchumi wa nchi,tunatengeneza timu,tunahitaji mafanikio ndani ya muda mfupi. Ukiacha Mourinho,sijaona kocha mwingine kwasasa anayeweza kutusaidia United.
Watu wanataka giggs apewe timu eti kisa gurdiola alifanikiwa barca, wamesahau pep alivokua anaachiwa timu na rijkaard timu ilikua imejitosheleza, wanakikosi full kilichokua kimefika nusu fainali kwenye CL, kikosi kina Eto'o, henry, messi, xavi, iniesta, akina puyol, toure, sasa utashindwaje kufanya vizuri? Leo hii sisi tuna akina fellain, mata, lingard na vitoto vingi then unataka giggs apewe timu, are we serious?
Giggs anatakiwa apate kwanza experience sehemu nyingine, aive ndio tumuamini kumpa timu, na kama itawezekana apewe U21 kwanza kama ilivokua kwa gurdiola na zizzou,
Nukupa like zaidi ya 100. Umenena ukweli mtupudomo la Mourinho nalipendaga sana!!na lije tu old trafford!!!Mourinho hakai miaka miwili bila kuchukua ubingwa wa nchi!!tunahitaji hilo kabla hatujawa liverpool!!Mourinho mbishi hakubali kushindwa kirahisi tunahitaji hilo kabla hatujawa arsenal,Mourinho ni mpambanaji na mshindi!!!halafu dunia nzima mnamsingizia Mourinho kubaki basi,Mourinho sio mpaki basi,amekuwa akipaki basi dhidi ya timu 2 tu tena zikiwa chini ya Pep,Barca na bayern,mlitaka afanyeje ikiwa hizo timu zinakaa na mpira muda wote na mpira upo mmoja tu uwanjani na wanakuwa wanao wao???mimi badala ya kumuita mpaki basi namuita mkali wa kulinda lango!!!na kwenye defence jamaa kabarikiwa tactics!Na aje,namkaribisha kwa mikono miwili
Nzuri. Bado hajapewa, ila kuna tetesi ya mazungumzo yake na man u . huwenda akaja msimu ujao.Habari Za humu? Kwani Mou keshapewa mikoba? Nijuzeni nipo Dunia ya 5 sielewi kinaendelea nini!!!
Acha unafiki...hujampa ht kalike ka1 .....hebu mpe mwana like yako sio kupiga tu keleleNukupa like zaidi ya 100. Umenena ukweli mtupu
Mbona hiyo like moja mimeshampa muda tuAcha unafiki...hujampa ht kalike ka1 .....hebu mpe mwana like yako sio kupiga tu kelele
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sorry basi sikuionaMbona hiyo like moja mimeshampa muda tu
99% Domourinho anaikochi Man Utd next season......Habari Za humu? Kwani Mou keshapewa mikoba? Nijuzeni nipo Dunia ya 5 sielewi kinaendelea nini!!!
Mkuu José is what we need right now, kuna watu may be wanakua na chuki binafsi tu na mou, watu wanalalamika kuhusu young player lakini wamesahau varane alipewa namba mbele ya pepe, kuna morata, zouma na hata ballotel waliweza kupangwa na kuaminiwa,
Hakuna world class coach ambae anaweza kuturudisha kwenye kushinda mataji kwa sasa zaidi ya José na ni ambae yupo available, pia huwezi kum-crtisize kocha kwa kutowapa nafasi vijana endapo hao vijana wenyewe hawaoneshi nia ya kutaka mafanikio na kutoka, kwa mfano jaribu kuangalia ni vijana gani waliokua hawapewi nafasi na mou na wakatafuta mbinu mbadala ya kutoka?
Angalia mfano wakina pique, pogba na Drinkwater walikosa nafasi utd lakini walikoenda wametuprove wrong, na nitegemezi huko so haiitaji kocha pekee kukutoa juhudi yako pia inahusika,
Miezi michache aliyoharibu José kisiwe kigezo cha kumfanya kama ni hopeless, kumbuka kila timu aliyofundisha hajawahi kumaliza out of top three kwa miaka zaidi ya 15 ( kama nitakua sawa) Leo hii kuharibu nusu msimu akiwa na Chelsea anaonekana sio kitu, lakini kloop alimaliza ligi wa saba akiwa na BvB ndio anaonekana mchawi wa mpira,
Hizi chuki za uchelsea na umanchester zitatuletea kiungulia, kwangu Mimi José ndio kocha pekee atakaeifanya Manchester irudi kwenye umanchester wake.
Asante sana dear,yote heri tu.....Mimi toka mwanzoni nilimtaka sana aje atuinue tu kwa Muda.Nzuri. Bado hajapewa, ila kuna tetesi ya mazungumzo yake na man u . huwenda akaja msimu ujao.
Ondoa shakaSorry basi sikuiona
[emoji120] [emoji120]
Ushindi upo hapo mkubwa tu Leo.Man Utd XI: De Gea, Darmian, Smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Schneiderlin, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney
Subs: Romero, Love, Weir, Pereira, Herrera, Memphis, Keane.
Sunderland XI: Mannone, Yedlin, O’Shea, Kone, van Aanholt, Kirchhoff, Cattermole, M’Vila, Khazri, N’Doye, Defoe.
Substitutes: Brown, Rodwell, Borini, Matthews, Pickford, Toivonen, Honeyman.
Sure tuone kipi kinatokea maana leo Fella baada ya watu kumpiga madongo kibao kocha leo hayupo hata kwenye benchUshindi upo hapo mkubwa tu Leo.
#GGMU