Loser fools wanafanya double marking wakipoteza mpira Gigs amejaribu kufanya vitu vyake lakini hawa Loser fools wapo ngangari kweli leo Wine Romney kazibwa kabisa hata Nani haonekani Nani acting now khe khe khe chaos now khe khe kheeeeeeeeeeeee jamani mkifungwa msianze viroja .... ..... ..... ..... garragher kapata kadi ya njano hapa na Golikipa kaja kuambulia kadi naye (Van der sar ) kaifuata mwenyewe ..... .....