Kazi mliyonayo Leo ni ngumu. Sioni ni namna gani mtaacha kwenda kucheza uropa ligi. Wolfsburg ni wazuri kuliko nyie kila idara. Salama yenu ni kwa psv kushindwa kuwatandika cska Moscow.
Aiseee hama timu .... ... .... .... karibu Emirates wanakudanganya tu hawa wamezoea mpira wa Brown envelopes khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huyu Shule bure kabisa anakosa goli la tatu hapa ..... .. .