Kaka ndo safari imeshawadia, kitu cha lazima kinachotokea huwa moyo hauamini.Kiroho kinadubda jamaniiiiiii
I believe too.....ni kweli mechi ni ngumu sana. ushindi ndio njia ya pekee ya sisi kwenda kwenye 16 bora. pia tuombe CSKA moscow amfunge psv. ila leo pagumu lolote linaweza kutokea
Kupata bao 1 tu mbinde...kiukweli Leo kazi ipoKitulizeeeee relaxxxx
Game ngumu sana ya msimu huu,sioni tukishinda but i hope CSKA anambania PSV
ni kweli mechi ni ngumu sana. ushindi ndio njia ya pekee ya sisi kwenda kwenye 16 bora. pia tuombe CSKA moscow amfunge psv. ila leo pagumu lolote linaweza kutokea
ni kweli mechi ni ngumu sana. ushindi ndio njia ya pekee ya sisi kwenda kwenye 16 bora. pia tuombe CSKA moscow amfunge psv. ila leo pagumu lolote linaweza kutokea
Kupata bao 1 tu mbinde...kiukweli Leo kazi ipo
We are utd
Pole sana,ina maana hujawahi kushangilia birthday yako ukiwa na furaha?
Mkivuka kesho mtoano mnakutana na Barca, bora tu mtolewe hukuhuku mapema!