1 kati ya mechi mbovu kabisa epl msimu huu ni hii. Game ni butua butua, sijaona zile 1,2 1,2. Wachezaji wa pande zote hawajiamini. Labda wanahofu ya mashambulizi ya kigaidi.

Nilipoona notification ya Waseme tu nikajua kitu kishajibu......hahahahah shemeji Depay bench limemfunza......niko bize nauguza ila nawafatilia hapa kwa net taratibu. ....wapi mamaaa Mrs Depay cute b!!!!!!@