Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna yule shabiki wa Liverpool alikuwa amekazania de gea ataenda Madrid ataenda Madrid aje hapa
 
Naona mnamshangilia messiah DDG kusaini mkataba. Nadhani sasa hivi amekuwa Lowassa wenu, hatoitwa mshamba,mwenye tamaa, mjinga mjinga kama alivyokuwa anaitwa miezi kadhaa iliyopita

everlenk
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe kaama kibakuli cha mbumba....lazima utajitokeza tu!!!

RRONDO bana, sasa nisemeje. Nimeona mnavyoshangilia kwa posts kibao tofauti halafu nje ya main Manchester United threads. Nasubiri kuona kesho mtakavyompiga madongo DDG baada ya kuruhusu magoli 2 ya Benteke. Usi-mind mkuu ndio mambo ya sports banter humu ndani, miaka ya nyuma fulani mlikuwa mnatupiga madongo kila siku sasa mchezo unabadilika.
 
ROONEY out kwa mechi hii..hahahahah..fellaini upfront...hahahaha...
 
umeona prediction ya jamaa yako mearson? eti hii game ni draw ya 2-2,
najiuliza huyu jamaa kama kila game anayotabili kuhusu utd ni kweli basi tungekua tunajihakikishia kushuka daraja katikati ya msimu.
 
It will not be easy,baada ya deal kucolapse hakuna uhusiano mzuri kati ya Man United na Madrid.As long as LVG na Woodward watakuwepo sidhani kama Madrid watakuja next season
 
Naona mnamshangilia messiah DDG kusaini mkataba. Nadhani sasa hivi amekuwa Lowassa wenu, hatoitwa mshamba,mwenye tamaa, mjinga mjinga kama alivyokuwa anaitwa miezi kadhaa iliyopita
everlenk

Sasa mtu akitubu dhambi zake, anaitwa mwenye dhambi tena au anaitwa Mteule, Mtakatifu,Chaguo la Mungu,R afiki wa Mungu,Mtoto wa Mungu and so nice names like that.... oooohhh!!!safiii DDG you make it...... ###Davestays
 
Last edited by a moderator:
Contracts means nothing siku hizi, dont get your hopes up..

El classico is the biggest match in the world, they said😂😂😂😂!!!!'
View attachment 285922

ROONEY out kwa mechi hii..hahahahah..fellaini upfront...hahahaha...

Na unavyojua kupotea leo sijui utajificha wapi popote ulipo nitakuibua, juzi Kati malegend wetu wamewachapa malegend wenu 4-2 sasa sisi leo kipigo cha mbwa mwizi NNE KAVU........hahahahahaha #Davestays
 
It will not be easy,baada ya deal kucolapse hakuna uhusiano mzuri kati ya Man United na Madrid.As long as LVG na Woodward watakuwepo sidhani kama Madrid watakuja next season

Florentino Perez be like.......
 
Attachments

  • 1442034461231.jpg
    23.1 KB · Views: 132

karibu mkuu..tushawazoea nyie nafasi ya nne kwenu ubingwa kwetu sisi failure!
 
umeona prediction ya jamaa yako mearson? eti hii game ni draw ya 2-2,
najiuliza huyu jamaa kama kila game anayotabili kuhusu utd ni kweli basi tungekua tunajihakikishia kushuka daraja katikati ya msimu.

Kama kweli anachotabiri ndio ingekuwa hali halisi....sasa hivi tuko LEAGUE 1 not even CHAMPIONSHIP!!!
 
Reactions: Nzi
Na unavyojua kupotea leo sijui utajificha wapi popote ulipo nitakuibua, juzi Kati malegend wetu wamewachapa malegend wenu 4-2 sasa sisi leo kipigo cha mbwa mwizi NNE KAVU........hahahahahaha #Davestays

Dada yangu everlenk usijiaminishe hivyo, team yako yenyewe ya kuchomea.😀
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…